Saturday, March 3, 2012

HAWA NDO BABA ZETU



Kigogo ambaye amepiga picha za utupu na mwanamuziki wa Bongo fleva, Lola Kimaro amefahamika kuwa ni Jonas Kwezi baba mwenye familia anayeishi Mbezi Beach jijini Dar es Salaam....


Huyu ni baba mtu mzima na familia yake lakini angalia uchafu anaoufanya. Hafikirii ukimwi na jinsi familia yake atakavyokuwa kwa aibu hii. watoto wake, mke wake wanaangaliwaje?


Na huyu dada nae anategemea nini toka kwa huyu bwana, hela ndo ikufanye ujidharirishe hivi?
Kufahamika huko kumekwenda sambamba na kunaswa kwa picha chafu zinazomuonyesha kigogo huyo ambaye ni mfanyabiashara maarufu jijini akiwa mtupu pamoja na Lola.Awali vyanzo vyetu vya habari vilidai kuwa, Jonas alikuwa katika mgogoro wa kindoa kati yake na mkewe kufuatia uhusiano wake wa kimapenzi na mwanamuziki huyo, tuhuma ambazo alizikana.Wakati gazeti hili likifuatilia skendo hiyo ya ngono, mfanyabiashara huyo alikuwa mbogo akikana kwamba hakupiga picha chafu na kwamba akiandikwa atachukua hatua.Hata hivyo, siku chache baadaye mtandao wetu wa habari ulinasa picha za aibu zikimuonesha mwanaume huyo mwenye watoto kadhaa akiwa na kimwana wake chumbani na mkononi kashika simu.Haijafahamika kama simu hiyo ndiyo iliyotumika kupiga picha hizo au la, lakini mazingira yanaonesha kwamba mfanyabiashara huyo alikuwa akifanya uchafu huo huku akijirekodi.Aidha, habari kutoka kwa mmoja kati ya rafiki wa Lola zinasema kwamba, taarifa za picha chafu zilizochapishwa wiki jana zimemchanganya msanii huyo kiasi ca kutaka kunywa sumu.


Source - Globalpublisherstz.com




Huyu Babu Mwanga nini?
Mwanaume huyu ambaye hakufahamika jina lake, alifumaniwa uchi wa mnyama nje ya nyumba ya Waziri mmoja wa Serikali ya Tanzania kwa kile kilichodaiwa kuzidiwa nguvu za kichawi. Picha na Mdau wa soka wa jijini Dar es Salaam, Mama Romana

No comments:

Post a Comment