Monday, March 5, 2012

........HOBBY YANGU NI KUPIGA PICHA ZA UTUPU........




MWANAMITINDO  DIANA ESCOTTO KATIKA MAPOZI TOFAUTITOFAUTI


 Kutoka nchini NEW YORK habari za udaku zinasema kwamba mwanamitindo Diana Escotto (Pichani) amewwajia juu waandishi wa habariwa nchini NEW YORK  kwa kumdis kuhusu picha zake za utupu alizopoga hivi karibuni na mpiga picha maarufu anayejulikana kwa jina la Costrol Lameck. Habari zaidi zinadai kuwa yeye binafsi anafurahishwa sana na picha hizo, Akiongea na waandishi wa habari mwanamitindo huyo alisema kuwa hakuna kitu anachokipenda hapa duniani kama kupiga picha za utupu. Hata hivyo duru za mikwanja duniani zinadai kuwa mwanamitindo huyu anaingiza pesa nyingi sana kutokana na picha zake za utupu, inakadiriwa kuwa anaingiza dola milioni 70 kwa ajili ya picha zake hizo kwa wiki.

Sunday, March 4, 2012

FUMANIZI-HUKO TABATA

FUMANIZI-HUKO TABATA


 

Big Brother Brazil Rape Scandal

Daniel Echaniz has been removed from Big Brother Brazil after he allegedly raped fellow housemate Monique Amin. This was all caught on night vision camera and police are now investigating the incident. Monique was passed out drunk on her bed after a party, and Daniel forced himself on her. OMG! What’s wrong with people???

Big Brother Brazil Rape Scandal Video 02 2012 01 17
Big Brother Brazil Rape Scandal Video 01 2012 01 17

Bei za Mastaa wa Kibongo


Na Mwandishi Wetu

Kwa jicho la juu, warembo mastaa muonekano wao ni bei mbaya a.k.a expensive, wapo wanaovunja benki ili kuwanasa bila kujua siri nzito iliyopo, kumbe asilimia 90 ni bei chee.


Ingawa wapo wenye misimamo yao na wasiozuzuka na ‘usistaduu wa kideoni’, idadi kubwa ya mastaa wanaotibua ‘kitaani’ na kwenye vyombo vya habari ni sababu ya tasnia nzima kuingia doa.

Ijumaa ‘The Udaku Master’, kupitia uchunguzi wake limebaini makundi matatu ambayo warembo hao wameyatengeneza, mosi likiwa la wale wanaojiheshimu (watulivu, wenye msimamo), pili ni la wale bei mbaya ‘expensive’ (kuwapata inabidi ujipinde), tatu lenye memba wengi ni la bei chee.

Ripoti ya Ijumaa pia ina kundi la warembo ambao pamoja na kwamba hawakuwekwa kwenye kundi lolote kati ya hayo matatu lakini tabia na vitendo vyao vimekuwa vikitia ‘kinyaa’ na kusababisha jamii iwashushe hadhi.

WANAOJIHESHIMU
Mastaa ambao mpaka sasa wameonesha msimamo na wanajiheshimu ni Malkia wa Afro Pop Bongo, Judith Wabura ‘Lady Jaydee’, (aliyepakatwa na mumewe pichani) mtangazaji nyota aliye pia mwanamuziki, Fina Mango ‘Ndege Mnana’ na staa wa filamu, Ndumbangwe Misayo ‘Thea’.
Wengine wenye msimamo ambao hawajanaswa na skendo ya aina yoyote mpaka sasa ni mtangazaji Zamaradi Mketema, mrembo aliyetisha kwenye Hip Hop, Zainab Lipangile ‘Zay B’, Miss Tanzania 2007/08, Richa Adhia na Miss Tanzania namba mbili 2006/07, Jokate Mwegelo.
Wapo wengine wanaoonekana wanajiheshimu lakini Ijumaa limewaondoa baada ya kubaini kasoro zao za chini chini, huku baadhi likitaka kujiridhisha zaidi.

BEI MBAYA
Kundi hili, linaundwa na mastaa wenye msimamo kwa wanaume ‘makapuku’ lakini ni wepesi mbele ya wafanyabiashara na wanasiasa wanaojua ‘kukata mpunga’.

Ingawa majina yao yanahifadhiwa kwa sasa, Ijumaa lina orodha ya mastaa 13 ambao wamekuwa wakigawa mapenzi kwa wanaume matajiri kwa matarajio ya kupata malipo makubwa.
Hata hivyo, baadhi yao wamejikuta wakiaibika baada ya kunyang’anywa magari ambayo walihongwa na wanaume kama malipo ya kuwapa mapenzi ya ‘nipe nikupe’.

BEI CHEE
Uchunguzi wa gazeti hili umebaini kwamba, mastaa wengi wanaounda kundi kubwa ni bei chee kwa sababu hutoa penzi ama kwa gharama nafuu au bure ili kutimiza matakwa yao ya kuwa maarufu.
Ijumaa limebaini kwamba, warembo wengi hasa waigizaji, hujirahisi kwa maprodyuza mastaa ili wapate kuonekana kwenye filamu zinazotengenezwa.
Prodyuza mmoja aliliambia gazeti hili hivi karibuni kuwa warembo wengi kabla ya ‘kuuza’ sura kwenye filamu mbalimbali, huwapa ofa ya unyumba baadhi ya maprodyuza.

“Hii ipo wazi kabisa, tasnia inaundwa na watu wengine hatari kabisa. Baadhi yao walikuwa hawajatulia huko mtaani na wengine wameshindwa maisha, kwa hiyo kutoa unyumba kwa prodyuza ili watoke hawaoni kazi.
“Ni wengi sana wanajirahisi. Unaweza kuwaona ni mastaa kwenye filamu lakini nje wanatongoza wanaume ovyo,” alisema prodyuza huyo (jina tunalo).

Ukiachana na prodyuza huyo, hivi karibuni gazeti ndugu na hili, Ijumaa Wikienda liliandika habari ya staa mmoja wa filamu kumpigia simu mbunge wa jimbo moja la Morogoro na kumuomba wawe pamoja.

Mbunge huyo aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, mrembo huyo alikuwa anamheshimu lakini alimshusha thamani baada ya kumtongoza bila aibu.
Aidha, Ijumaa inaifanyia kazi orodha ya mastaa 22 ambao wanatajwa kuwa kimeo kuliko wengine kwa kuwa na tabia ya kutongoza au kujitongozesha kwa wanaume.

KUNDI LINALOCHAFUA TASNIA
Uchunguzi umebaini kuwa, mastaa wanaoongoza kwa skendo, wamekuwa wakichafua hali ya hewa na kusababisha hata wengine wanaojiheshimu waonekane hawana maana.
Staa wa filamu, Aunt Ezekiel ‘Gwantwa’ anatibua hali ya hewa kutokana na skendo zake za waume za watu pamoja na ile ya kufumwa chumbani akiwa na mchumba wa mtu mwaka juzi.


Aunt alifumwa akiwa na brazameni, Mwilu Mwilola ‘Silvanus’ ambaye alikuwa mchumba wa msanii, Sara Mwakapala. Hivi sasa Aunt na Silva ni wapenzi wa kudumu.
Skendo za Miss Tanzania 2006/07, Wema Isaac Sepetu kubadili wanaume mara kwa mara na ‘kashkash’ za kukamatwa na polisi, ni baadhi ya vitu vinavyochafua ‘statas’ ya ustaa ndani ya ‘Bongoland’.

Mastaa Jacqueline Pentzel, Jacqueline Patrick, Blandina Chagula ‘Johari’, Sylvia Shally, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na wengineo wengi pia wanatajwa kuwa sehemu ya ‘uchafuzi’ wa hali hewa katika tasnia kutokana na skendo zao za hapa na pale.

MTANZANIA MSICHANA AFANYWA MTUMWA UINGEREZA


Mtuhumiwa wa unyanyasaji, Rebecca Balira, akitoka katika mahakama ya Southward Crown hivi karibuni.
Mahakama ya Southward Crown ambako kesi inaunguruma.
MTAALAM wa sayansi katika moja ya taasisi maarufu za utafiti duniani nchini Uingereza anakabiliwa na mashitaka ya kumchukua msichana kutoka Tanzania na kukaa naye nyumbani kwake akimfanyisha kazi za kitumwa.

Kwa mujibu wa gazeti la Daily Mail, mwana mama Rebecca Balira mwenye umri wa miaka 47 (pichani juu) anatuhumiwa kumfanyia unyama huo Mtanzania Methodia Mathias (21) ambaye anamfanyisha kazi za kupika, kufua na kufanya usafi nyumbani kwake huku akimtumia kama yaya wa watoto wake watatu, bila ya kumlipa ujira  wowote, imeambiwa mahakama ya Southward Crown, jijini London.

Msichana huyo ambaye alisafirishwa na Balira kutoka Tanzanzania hadi Uingereza, huamka saa 11 asubuhi ambapo hufanyishwa kazi hadi saa 5:30 za usiku au hadi usiku wa manane, mahakama imeambiwa na kuelezwa zaidi kwamba msichana huyo hulazimishwa kutumia kitanda kimoja na mtoto wa kiume Balira mwenye umri wa miaka 12.

Katika mazingira hayo hayo magumu, Mathias amenyang’anywa pasipoti yake na haruhusiwi kuongea na mtu yeyote, achilia mbali mateso ya kupigwa na “tajiri” wake huyo ambapo katika tukio moja aliwahi kumjeruhi na mkasi kifuani.

Mateso hayo ambayo yalimchukua muda wa miezi sita yalifikia kikomo baada ya msichana huyo kumweleza ‘rafiki’ yake mmoja nchini humo mkasa huo naye akamshauri kuuripoti polisi ambao walifika na kuanza upelelezi.

Mwendesha mashitaka, Caroline Haughey aliiambia mahakama jinsi Balira alivyokuwa amemwahidi Mathias kumlipa mshahara wa shilingi 250,000 za Kitanzania kila mwezi (kiasi cha Pauni 96) ili kwenda kumfanyia kazi za ndani.

Balira alifanikiwa kumsafirisha msichana huyo kutoka Dar es Salaam hadi London, kupitia Taasisi ya Utafiti wa Dawa za Tropiki ya London ambapo alimpeleka huko Februari mwaka jana (2010) katika fleti la vyumba viwili vya kulala huko Thamesmead, kusini-mashariki mwa London ambako Balira alikuwa akitumia chumba kimoja na watoto wake watatu na kimoja kukipangisha kwa mtu mwingine.

Mbali na kutolipwa ujira anaostahili, msichana huyo alikuwa hatoki nyumbani hapo isipokuwa Jumapili tu wakati wanakwenda kanisani. Imeelezwa pia kuwa alikuwa akilipwa pauni 96 tu, takribani 250,000 za bongo kwa mwezi.

Wakati kesi hiyo ikiendelea katika mahakama hiyo, upande wa mashitaka umesema kwamba:
“Tunachokisema ni kwamba Rebecca Balira alimfanya Methodia Mathias kuishi katika mazingira ambayo ni sawa kabisa na utumwa.”

Kesi hiyo inaendelea ambapo Balira anakabiliwa na mashitaka ya kuendesha utumwa na mashambulio mawili ya mwili.


source: global publishers

Baba afumaniwa LIVE na bintiye!








SOURCE: Mwananchi, 5 January 2012 na pia kwenye The Guardians toleo la 02 Jan 2012

Ni KIGOGO wa UVCCM mkoa wa Pwani
Aliwahi kugombea ubunge tiketi ya CCM pwani 20120 akatoswa kwenye kura ya maoni...
Ametapeli hela za hiyo kampuni na kesi yake iko mahakamani

Kwa sasa viongozi wa juu wa UVCCM, usalama wa taifa na yeye mwenyewe wanahaha kumsafisha kwani yumo kwenye shortlist ya mkulu kuteuliwa kuwa mkuu wa Wilaya

My take
: Hii ndio aina ya viongozi tunaowaandaa waje kuwa mawaziri kwa utapeli huu akiwa kiongozi wa juu hata kidogo tulichonacho kitapona kweli? JK tuonee huturuma waTanzania kwa miiaka minne iliyobaki kwa mwendo huu
ukiimaliza tutakuwa wapi.

NAWAKILISHA................... ..

Saturday, March 3, 2012

HAWA NDO BABA ZETU



Kigogo ambaye amepiga picha za utupu na mwanamuziki wa Bongo fleva, Lola Kimaro amefahamika kuwa ni Jonas Kwezi baba mwenye familia anayeishi Mbezi Beach jijini Dar es Salaam....


Huyu ni baba mtu mzima na familia yake lakini angalia uchafu anaoufanya. Hafikirii ukimwi na jinsi familia yake atakavyokuwa kwa aibu hii. watoto wake, mke wake wanaangaliwaje?


Na huyu dada nae anategemea nini toka kwa huyu bwana, hela ndo ikufanye ujidharirishe hivi?
Kufahamika huko kumekwenda sambamba na kunaswa kwa picha chafu zinazomuonyesha kigogo huyo ambaye ni mfanyabiashara maarufu jijini akiwa mtupu pamoja na Lola.Awali vyanzo vyetu vya habari vilidai kuwa, Jonas alikuwa katika mgogoro wa kindoa kati yake na mkewe kufuatia uhusiano wake wa kimapenzi na mwanamuziki huyo, tuhuma ambazo alizikana.Wakati gazeti hili likifuatilia skendo hiyo ya ngono, mfanyabiashara huyo alikuwa mbogo akikana kwamba hakupiga picha chafu na kwamba akiandikwa atachukua hatua.Hata hivyo, siku chache baadaye mtandao wetu wa habari ulinasa picha za aibu zikimuonesha mwanaume huyo mwenye watoto kadhaa akiwa na kimwana wake chumbani na mkononi kashika simu.Haijafahamika kama simu hiyo ndiyo iliyotumika kupiga picha hizo au la, lakini mazingira yanaonesha kwamba mfanyabiashara huyo alikuwa akifanya uchafu huo huku akijirekodi.Aidha, habari kutoka kwa mmoja kati ya rafiki wa Lola zinasema kwamba, taarifa za picha chafu zilizochapishwa wiki jana zimemchanganya msanii huyo kiasi ca kutaka kunywa sumu.


Source - Globalpublisherstz.com


ONYO:

WALE WOTE WENYE SKENDO:
mkae mbali na jicho la XSKENDO kwani tukipata tunatupia:

wale wote wenye nyepesi 
TUPIA KWA EMAIL
 
xskendo@gmail.com

sisi kazi yetu ni kuiweka sawa jamii