MWANAMITINDO DIANA ESCOTTO KATIKA MAPOZI TOFAUTITOFAUTI
Kutoka nchini NEW YORK habari za udaku zinasema kwamba mwanamitindo Diana Escotto
(Pichani) amewwajia juu waandishi wa habariwa nchini NEW YORK kwa
kumdis kuhusu picha zake za utupu alizopoga hivi karibuni na mpiga picha
maarufu anayejulikana kwa jina la Costrol Lameck. Habari zaidi zinadai kuwa yeye binafsi anafurahishwa sana na picha hizo, Akiongea na waandishi wa habari mwanamitindo
huyo alisema kuwa hakuna kitu anachokipenda hapa duniani kama kupiga
picha za utupu. Hata hivyo duru za mikwanja duniani zinadai kuwa
mwanamitindo huyu anaingiza pesa nyingi sana kutokana na picha zake za
utupu, inakadiriwa kuwa anaingiza dola milioni 70 kwa ajili ya picha
zake hizo kwa wiki.
SIO POA
ReplyDelete