Sunday, March 4, 2012
SOURCE: Mwananchi, 5 January 2012 na pia kwenye The Guardians toleo la 02 Jan 2012
Ni KIGOGO wa UVCCM mkoa wa Pwani
Aliwahi kugombea ubunge tiketi ya CCM pwani 20120 akatoswa kwenye kura ya maoni...
Ametapeli hela za hiyo kampuni na kesi yake iko mahakamani
Kwa sasa viongozi wa juu wa UVCCM, usalama wa taifa na yeye mwenyewe wanahaha kumsafisha kwani yumo kwenye shortlist ya mkulu kuteuliwa kuwa mkuu wa Wilaya
My take: Hii ndio aina ya viongozi tunaowaandaa waje kuwa mawaziri kwa utapeli huu akiwa kiongozi wa juu hata kidogo tulichonacho kitapona kweli? JK tuonee huturuma waTanzania kwa miiaka minne iliyobaki kwa mwendo huu
ukiimaliza tutakuwa wapi.
NAWAKILISHA................... ..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment